Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 5 September 2017

Mwanaume: Kitunguu swaumu kinavyoweza kukuheshimisha katika ndoa yako

Picha kwa msaada wa mtandao
Mara nyingi matatizo ya uzazi katika familia nyingi huegemea zaidi upande wa wanawake au kinamama, lakini si sahihi kwani kuna wakati matatizo hayo huweza pia kuchangiwa na wanaume.

Miongoni mwa mambo yanayoweza kuchangia mwanaume kushindwa kutungisha ujauzito ni pamoja na kutokuwa na kiwango cha kujitosheleza cha mbegu zake (manii), lakini pia kuna wakati mbegu hizo zinaweza kuwa zinajitosheleza lakini zisiwe na ubora unaotakiwa au unaokidhi viwango vya kutungisha  mimba.

Leo ninapenda kuwaeleza wanaume kwamba, wanapotumia kitunguu swaumu watambue kuwa kuna uwezekano wa kuimarisha mbegu zao na kuzipatia ubora zaidi wa kutungisha mimba kirahisi.

Jambo la kufanya mama hakikisha unapomuandalia baba (mmeo) chakula basi sehemu ya viungo unavyotumia katika mapishi yako kisikosekane kiungo cha kitunguu swaumu kila mara.

Hii husaidia kuongeza mzunguko wa damu mwilini na hivyo mwanaume kuwa na uwezo mzuri wakati wa kushiriki tendo la ndoa na kuwa na uwezekano wa kwenda umbali mrefu zaidi wakati wa tendo hilo.

Kwa ushauri zaidi kuhusu mada hii au mambo mengine hasa yanayohusu lishe bora unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment