Monday, 25 September 2017

Mzaituni mti uliotajwa kwenye vitabu vitakatifu na unamaajabu mengi


Mzaituni ni mti unaostawi katika mataifa mbalimbali duniani, lakini zaidi huweza kustawi zaidi nchini Israel.

Mti huu ambao umetajwa mara kadhaa katika vitabu vya dini pia unaelezwa kuwa na uwezo wa kutoa ahueni kwa matatizo kadhaa ya kiafya.

Mti huu unaelezwa kuwa na uwezo wa kimatibabu endapo mizizi yake au majani yatatumika vyema au ipasavyo.

Mti huu huweza kuponya maumivu ya kichwa ya mara kwa mara na mhusika atapaswa kunyoa nywele zake kisha kutumia mafuta ya mzaituni kupaka kichwani kutwa mara 2 kwa muda wa wiki 2.

Aidha, kwa wale wanawake wenye shida ya kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri huweza kutumia majani yake na kumaliza shida hiyo.

Kuna mengi zaidi kuhusu mzaituni, lakini si rahisi kuyazungumza yote hapa hivvyo kama unahitaji ufafanuzi wa kina unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia makala haya ya mzaituni unaweza kuyapata kupitia kitabu cha TAMBUA vol 2 hivyo kama utakihitaji unaweza kupiga simu kwa namba hizo hapo juu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.


No comments:

Post a Comment