Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 5 September 2017

Njia 1 ya kutuliza maumivu makali ya jino

Maumivu ya meno huwa makali sana na huweza kukusababisha hata kushindwa kufanya kazi nyingine endapo yatakuwa ya muda mrefu.

Mbaya zaidi unaweza usilale kabisa endapo utapatwa na maumivu ya jino usiku na kama hauna uvumilivu unaweza kutoka usiku huo huo na kukimbia hospitali kwenda kung'oa.

Hata hivyo, hapa ninayo moja ya njia ya kupunguza maumivu ya jino:-

Unachotakiwa kufanya ni kuwa na karafuu, kisha isage hadi iwe unga laini na uchanganye na mafuta ya mzaituni kidogo halafu tumia pamba kugusisha mchanganyiko huo kwenye jino lenye maumivu.

Kwa ushauri zaidi kuhusu mada hii au mambo mengine hasa yanayohusu lishe bora unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment