Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 5 September 2017

Njia asili ya kutoa ahueni kwa wenye matatizo wakati wa hedhi

Mzunguko wa hedhi ni mzunguko wa kila mwezi ambao mwanamke huupata, hali ambayo huleta kutokwa na damu ukeni kutokana na mimba kutotungwa. Kwa hali ya kawaida hedhi hutakiwa kuwa na uzito wa wastani

Lakini wapo baadhi ya wanawake wanapokuwa katika kipindi hiki hupata damu nzito na nyeusi na hivyo kuwatengenezea hofu miongoni mwao.

Hata hivyo, zipo sababu ambazo huweza kuchangia mwanamke kuona hedhi ya namna hiyo, sababu hizo ni pamoja na hizi hapa chini:-

1. Dalili za homoni kutokuwa sawia (Hormone imbalance)

2. Dalili za uvimbe kwenye mirija ya uzazi

3. Matatizo wakati wa ujauzito

4. Matatizo ya kurithi miongoni mwa wanafamilia

5. Dalili za saratani

6. Huweza kuchangiwa pia na matumizi fulani ya dawa

Pamoja na kuyafahamu hayo, naomba nikufahamishe moja ya njia ambayo huweza kumaliza tatizo hilo.

Unachotakiwa kufanya ni kupata gome la mti wa muembe na kulisaga na kupata unga wake, halafu changanya unga huo na robo kikombe cha maji.

Baada ya hapo tumia kijiko kidogo cha mchanganyiko hio angala mara 3 kwa siku ndani ya mwezi mmoja na itakusaidia kumaliza shida hiyo.

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment