Friday, 22 September 2017

Orodha ya magonjwa 5 yanayoelezwa huweza kuua kimya kimya


Kuna baadhi ya magonjwa si rahisi kuonesha dalili zake kwa haraka lakini huwa na uwezo mkubwa wa kusababisha vifo vingi kwa haraka.

Magonjwa haya hufahamika zaidi kama 'silent killer'  hivyo, leo naomba nikueleze msomaji wangu baadhi ya magonjwa hayo yenye uwezo wa kuua kimyakimya.

1. Shinikizo la damu

2. Homa ya Ini

3. Saratani ya tumbo

4. Kisukari

5.Magonjwa ya mifupa  (osteoporosis)

Kwa ushauri zaidi kuhusu virtubisho asili kutoka kwetu unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment