Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 9 September 2017

Sababu za wanawake kutopenda kuwa waanzilishi wa tendo la ndoa


Tendo la ndoa ni tendo la faragha kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti yaani mwanamke na mwanaume.

Mara nyingi tendo hili limezoeleka kuanzishwa na wanaume na baadaye wanawake hufuata baadaye baada ya kuhamasishwa kufanya hivyo na mwanaume yaani mwenzi wake.

Hata hivyo, zipo sababu kadhaa ambazo huchangia tendo hili la ndoa mara nyingi kuanzishwa na wanaume kuliko wanawake:-

1. Wanawake huhofia kukataliwa
Wanawake ni watu walioumbwa na aibu, hivyo kabla ya kuanzisha mazingira ya kushiriki tendo la ndoa huhofia kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuhisi kuonekana vibaya kitabia (malaya) na baadhi yao huhofia kukataliwa.

2. Hofu ya maumivu
Kwa kawaida mwanamke kabla ya kushiriki tendo la ndoa huhitaji maandalizi kutoka kwa mwenzi wake (mwanaume) hivyo anapoanzisha yeye tendo hilo huwa ni vigumu kuandaliwa ipasavyo na hivyo kuchangia mhusika kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo hilo. Hivyo ndio maana wanawake wengi husubiri tendo hilo kuanzishwa na wanaume ili kupata maandalizi ya kutosha kabla ya kuanza kwa tendo hilo.


Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment