Wednesday, 20 September 2017

Ukila punje 3 za tende kila siku hiki ndicho kitakachotokea kwenye afya yako


TENDE ni tunda ambalo linaongoza kwa kuliwa sana katika kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

Sasa leo naomba nikueleze kuwa hauna sababu ya kula tende kila inapofika wakati wa mfungo pekee kutokana na hizi faida zifuatazo hapa chini:-

Miongoni mwa mambo ambayo yatajitokeza endapo utajiwekea utaratibu wa kula punje 3 za tende kila siku kwa wiki moja mfululizo au na kuendelea mambo haya yatajitokeza kwenye afya yako:-

1. Itasaidia kupambana na tatizo la anemia au dalili zake kama zitakuwepo

2. Itaimarisha afya ya mifupa yako na kinga kwa ujumla.

3. Itapunguza uwezekano wa kupatwa na tatizo la kupooza

4. Itaimarisha uwezo wako wa kiakili

5. Itaimarisha afya kwa mama mjamzito na kumpa uwezekano wa kujifungua salama zaidi

6. Itasaidai kuboresha mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula

7. Itasaidia kukufanya kuwa mtu mwenye nguvu pia

Kwa maelezo zaidi au ushauri wasilina na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment