Thursday, 28 September 2017

Usipitwe na hizi faida za mchanganyiko wa ndizi & viazi kiafya


Sina uhakika kama wengi tutakuwa tunafahamu kuhusu faida za mchanganyiko wa ndizi na viazi mviringo?

Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hufahamu faida za mchanganyiko huo kiafya basi tovuti hii ipo kwa ajili yako kukujuza umuhimu wa mchangayiko kwa afya yako hususani kama unasumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo.

Ili kuandaa mchanganyiko huu unapaswa kufuata hatua chache na rahisi na baadaye utaweza kukamirisha mchanganyiko huu na kuanza kuutumia ndani ya dakika kadhaa.

Unachopaswa kufanya ni kupata ndizi mbivu pamoja na viazi mviringo, kisha vioshe vyema na baadaye utachanganya mchanganyiko vizuri halafu utatumia glasi moja ya kinywaji hicho kutwa mara tatu.

Kwa amaelezo ya kina zaidi kuhusu mchanganyiko huu usisite kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment