Friday, 29 September 2017

Vyakula vya aina 3 asili vyenye uwezo wa kutoa nafuu ya vidonda vya tumbo


Tatizo la vidonda vya tumbo si tatizo geni miongoni mwa watu wengi, kwani wengi wetu tunalifahamu tatizo hili huenda kutokana na kuliishi sisi wenyewe au ndugu zetu wa karibu.

Ugonjwa huu hutokea mara baada ya mhusika kupata vidonda kwenye kuta za utumbo wa mwanadamu, ambavyo hutokana na kuzidi kwa tindikali yenye kazi ya kuyeyusha chakula mwilini.

Hata hivyo, wataalam wa afya wanaeleza kwamba chanzo cha tatizo hili hutokana na bakteria anayejulikana kama 'Helicobacteria pylori'.

Miongoni mwa njia za kutatua tatizo hili ni pamoja na kutumia kinywaji (juisi)  yenye mchanganyiko wa mboga za majani (spinach), karoti na tango. 

Njia nyingine inayoweza kutatua shida ya vidonda vya tumbo ni ile ya kutumia mbegu za uwatu pamoja na asali.

Pia unaweza kutumia kabeji kama njia nyingine ya kupambana na tatizo la vidonda vya tumbo.

Ufafanuzi zaidi wa mada hii utaweza kuupata kupitia kitabu cha TAMBUA vol 2 kitakachotoka hivi karibuni.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment