Friday, 6 October 2017

Aina 3 ya michanganyiko ya matunda yenye uwezo wa kupunguza unene

Ikiwa wewe ni kati ya wale watu ambao  mmekuwa mkihangaika katika kupunguza uzito (unene) basi leo ntaka kukwambia kuhusu vinywaji hivi.

Vifuatavyo ni miongoni kati ya vinywaji vyenye uwezo wa kupunguza uzito kwa haraka endapo ukizingatia matumizi yake.

1. Kinywaji chenye mchanganyiko wa embe, nanasi, tufaa, karanga na ndizi mchanganyiko wa matunda hayo kwa pamoja unapoandaliwa na kupata juisi yake kisha mhusika kunywa kila siku kwa muda wa wiki mbili husaidia kupunguza uzito kwa haraka.

2. Mchanganyiko mwingine wenye uwezo wa kupunguza uzito ni ule wa ndizi mbivu, tangawizi, karanga. Hivyo vyote vinaposagwa na kuchanganywa na maji kidogo huwa ni kinywaji kizuri kwa wahitaji wa kupunguza uzito wa miili yao.

3. Mchanganyiko mwingine ni ule wa zabibu, ndizi, chungwa, tufaa, karanga na maji safi ya kunywa kidogo, huu unaposagwa na kupata kinywaji chake hufaa kwa wenye uhitaji wa kupunguza uzito.

Kwa ufafanuzi zaidi au msaada unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment