Tuesday, 17 October 2017

Boresha mzunguko wa damu mwilini mwako kwa njia hizi 7 asili


Mzunguko wa damu unapaswa kuwa vizuri muda wote ndani ya miili yetu wanadamu kwani mzunguko wa damu unapokuwa hafifu huweza kuwa sababu ya matatizo kadhaa ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya maumivu ya viungo.

Pia hali huweza kuchangia matatizo ya moyo, shinikizo la juu la damu na kupooza.

Mzunguko wa damu unapokuwa vizuri mwilini husaidia hata usambaaji mzuri wa hewa ya oxygen katika sehemu mbalimbali za mwili.

Leo napanda kukwambia njia asili ambazo huweza kusaidia kuongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili kuwa vizuri zaidi.

1. Kuanza/ kufanya mazoezi

2. Kuongeza unywaji wa maji ya kutosha

3. Kula mlo sahihi kiafya

4. Kupunguza matumizi ya vileo

5. Kuzingatia unywaji wa chai za kijani

6. Kuepuka uvutaji wa sigara

7. Pia unapopata nafasi unaweza kufanya uchuaji wa mwili (massage).

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment