Thursday, 12 October 2017

Faida 6 utakazopata kwenye majani ya muembe pekee


UHALI gani msomaji wangu wa www.dkmandai.com karibu tuendelee kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu mimea tiba na matunda .


Leo tutaanza tujuzane kuhusu faida za majani ya muembe

Zifuatazo ni faida za majani ya muembe kiafya:-

1. Husaidia kutuliza matatizo ya upumuaji. Mfano ‘Asthma’

2. Majani ya muembe pia hutuliza maumivu ya sikio

3. Husaidia kutatua matatizo ya koo.

4. Majani ya muembe pia husaidia kuondoa sumu tumboni

5. Husaidia pia kwa wale wenye matatizo ya ngozi

6. Huboresha afya ya kinywa pia


Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment