Saturday, 14 October 2017

Faida za juisi ya majani ya ngano


Juisi hii ya majani ya ngano ni nadra sana kukutana nayo kwasababu wengi hutumia kwasababu maalum au kwa maelekezo ya wataalam fulanifulani.

Leo ninayo orodha ya matatizo, ambayo huweza kupatiwa ahueni kwa kutumia juisi ya majani ya ngano:-

1. Upungufu wa damu mwilini (Anemia)

2. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini

3. Hupunguza sumu mwilini

4. Hupunguza hali ya uchovu

5. Husaidia kupunguza uharibifu wa meno

6. Hupunguza madhara ya matatizo ya mkojo

7. Husaidia kuimarisha kinga za mwili

8. Hupunguza maumivu ya viungo.

Ni vyema kupata ushauri kwanza kutoka kwa wataalam kabla ya kuamua kutumia kinywaji hiki ili kupata maelekezo sahihi ya namna ya uandaaji wake. Kwa ushauri zaidi unaweza kuongea nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment