Thursday, 26 October 2017

Faida za juisi ya tikitimaji na tango kwa afya yako

Vinywaji vitokanavyo na matunda haya huwa na manufaa zaidi kwa afya zetu kutokana na kuwa na vitamin mbalimbali pamoja na madini pia.

Lakini leo naomba kukueleza kuhusu faida za juisi ya tango na tikitimaji katika afya zetu, lakini hususani kwenye upande wa afya ya ngozi.

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa juisi hizo kisha kutengeneza mchanganyiko mmoja wa pamoja halafu utatumia mchanganyiko huo kupaka usoni , unaweza kutumia pamba katika kupaka usoni

Baada ya hapo acha mchanganyiko huo usoni kwako kwa dakika kadhaa kabla ya kunawa hii husaidia kupunguza hali ya mafuta kwa wenye ngozi zenye mafuta pamoja na kuifanya ngozi kuwa laini.

Unaweza kutumia njia kila siku mara mbili kwa muda wa wiki mbili mfululizo ili kupata mafanikio

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment