Monday, 16 October 2017

Kazi 6 za mafuta yatokanayo na tangawizi


Tangawizi ni moja ya kiungo kizuri ambacho huwa na faida kadhaa kiafya, lakini ni nadra sana kusikia kuhusu faida za mafuta yake.

Leo nimekuandalia orodha ya faida za mafuta ya tangawizi kiafya;-

1. Hupunguza dalili za malaria

2. Husaidia kupunguza maumivu ya viungo.

3. Hukinga dhidi ya matatizo ya upumuaji

4. Hukinga matatizo ya moyo

5. Huzuia dalili za kiungulia

6. Huimarisha kinga za mwili

Kwa ushauri zaidi unaweza kuongea nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment