Tuesday, 3 October 2017

Kazi 9 za mbegu za tikitimaji kiafya

Mbegu za tikitimaji zinasifika kwa kuwa na virutubisho mbalimbali ikiwa ni pamoja na protini, amino acid, vitamin B pamoja na madini ya magnesium,copper, potassium, zinc,manganese,  na madini chuma.

1. Huimarisha kinga ya mwili
 
2. Hulinda afya ya ngozi

3. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na shinikizo la damu

4. Mbegu za tikitimaji ni nzuri kwa afya ya moyo.

5. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu

6. Huboresha mfumo wa fahamu

7. Huboresha afya ya nywele

8. Hurekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

9. Huimarisha afya ya mifupa pia

Kama ungependa kujifunza namna ya kuziandaa mbegu hizo unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment