Tuesday, 3 October 2017

Kitunguu swaumu hupunguza madhara ya vichomi


Kitunguu swaumu ni moja ya viungo ambavyo hutumika kwenye mapishi mbalimbali katika kuongeza ladha ya chakula, lakini pia kiungo hiki kinasifika kwa kuwa na manufaa mbalimbali ikiwa kitatumika vyema.

Mara kadhaa tumekuwa tukielezana kuhusu faida za kiungo hiki kupitia mtandao wetu huu, lakini leo tena nahitaji kukueleza kuhusu namna kiungo hiki kinavyoweza kupunguza maumivu ya kichomi.

Namna ya kutumia

Ponda punje kumi za kitunguu swaumuu hadi ziwe katika hali ya uji uji kisha paka sehemu za kifua zenye maumivu huku ukichua kwa utaratibu sana. Fanya hivyo asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na mengine mengi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment