Friday, 20 October 2017

Mambo 10 yakuyapata kwenye afya yako kupitia kwenye viazi vitamu

help-treat-herpes
Sina shaka wengi wetu tunafahamu kuhusu viazi vitamu, lakini naamini si wote ambao tunafahamu pia kuhusu faida zake kiafya.

Kwa kulitambua hilo leo nimeona ni vyema nikuandalie orodha ya faida zotokanazo na ulaji wa viazi vitamu mara kwa mara kama ifuatavyo:-

1. Hupunguza uwezekano wa kukumbwa na kiharusi (stroke)

2. Husaidia kutengeneza seli mpya nyekundu za damu mwilini.

3.Hulinda afya ya macho kutokana na kuwa na vitamin A.

4.Husaidia kuboresha mfumo wa umeng'enyaji wa chakula tumboni.

5. Hushusha uwezekano wa kukumbwa na saratani

6. Hupunguza uwezekano wa kukumbwa na matatizo ya moyo.

7. Husaidia kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

8. Huongeza uimara kwa kinga za mwili kutokana na kuwa na vitamin C yakutosha

9. Huweza kuwa msaada kwa afya ya fizi na meno.

10. Huweza kupunguza maumivu ya misuli na viungo (joint).

Maelezo zaidi au maoni unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkamandaitz@gmai.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment