Monday, 2 October 2017

Mataunda yenye uwezo wa kupunguza maumivu ya hedhi


Hedhi ni mzunguko wa kila mwezi ambao mwanamke huupata, hali ambayo hupelekea mwanamke husika kutokwa na damu kutokana na mimba kutotungwa.

Hata hivyo, kuna baadhi ya wanawake hupata maumivu makali inapofika wakati wa kipindi hicho cha hedhi au siku chache kabla.

Hivyo leo nimeona nikueleze kuhusu haya matunda ambayo huweza kusaidia kupunguza maumivu wakati wa kipindi hicho cha hedhi.

1. Ndizi
Tunda hili huweza kuwasaidia wanawake wenye shida ya maumivu makali wakati wa hedhi na ni vyema likatumika siku mbili kabla ya kipindi hicho cha hedhi.

2. Papai
Papai ambalo halijaiva vizuri nalo huwa na uwezo wa kusaidia kupunguza maumivu hayo ya wakati wa hedhi, hivyo mhusika anaweza kula vitande vitatu hadi vitano vya tunda hilo ili kupata ahueni.

3. Nanasi
Hili nalo ni miongoni kati ya matunda yenye uwezo wa kupunguza maumivu hayo, kutokana na tunda hilo kuwa na virutubisho vyenye uwezo wa kuifanya misuli ya sehemu za siri kuwa huru (kurelax) hali inayochangia kupunguza uwezekano wa maumivu makali.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment