Monday, 9 October 2017

Maziwa yenye asali na faida zake

Unywaji wa maziwa ni muhimu kwa afya zetu, lakini unywaji wa maziwa yenye mchanganyiko wa asali huweza kuwa na faida zaidi.

Miongoni mwa faida za maziwa yenye mchanganyiko wa asali ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Hulinda afya ya ngozi yako.

2. Huboresha mfumo mzima wa uyeyushaji chakula.

3. Husaidia afya ya mifupa

4. Husaidia kupambana na bakteria.

Kwa ufafanuzi na ushauri zaidi kuhusu njia hii piga simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment