Saturday, 7 October 2017

Namna ya kudhibiti kupanda kwa shinikizo la damu


Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa.

Wataalam wa afya hueleza kwamba shinikizo la damu ya mgonjwa limepanda endapo kipimo kinapozidi 140/90.

Yafuatayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kumsaidia mhusika kudhibiti shinikizo la damu

1. Kupunguza kiasi cha matumizi ya chumvi

2. Kupunguza uzito wa mwili

3. Kuzingatia ulaji wa vyakula vyenye madini ya potasiamu

4. Epuka matumizi ya unywaji wa vileo.

5. Zingatia ufanyaji wa mazoezi

6. Epuka hali ya mfadhaiko (stress)

Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment