Tuesday, 24 October 2017

Orodha ya matunda 8 yatakayokufanya uonekane kijana zaidi

Avocado can Help You Look Younger
Kuna matunda mengi ambayo yamekuwa yakisifika kwa kuwa na manufaa kadhaa kwenye afya zetu wanadamu.

Lakini leo naomba nikupatie msomaji wangu hii orodha ya matunda ambayo huweza kukufanya ukaendelea kuonekana kijana licha ya kwamba umri umesogea :-

Orodha ya matunda hayo ni hii hapa chini:-

1. Nanasi

2. Komamanga

3. Parachichi

4. Ndizi

5. Tikitimaji

6. Nyanya

7. Apple/ tufaa

8. Karoti

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na mengine mengi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment