Friday, 20 October 2017

Orodha ya vyakula, matunda na viungo vyenye kupunguza uzito wa mwili

healthy foods for weight loss
Uzito mkubwa ni moja ya mambo ambayo huwakwaza watu wengi wanaojikuta wakipitia katika hali hiyo.

Wengi wenye tatizo hili huhangaika sana kutafuta njia mbalimbali za  kuwasaidia kuondokana katika shida hii, lakini kwa bahati mbaya wengi huishia kushindwa kufanikiwa.

Leo naomba nikupatie hii orodha ya vyakula, matunda na viungo, ambavyo vinaelezwa kuwa na uwezo wa kuwasaidia watu wenye uhitaji wa kupunguza uzito endapo watavitumia vizuri vyakula hivyo. Miongoni mwa vyakula hivyo ni pamoja na hivi hapa vifuatavyo:-

1. Tikitimaji

2. Pilipili hoho

3. Mdalasini

4. Ndizi mbivu

5. Nanasi

6. Binzari / manjano

7. Viazi vitamu

8. Maharage

9. Mafuta ya nazi

10. Samaki

11. Parachichi

12. Tufaa / apple

13. Nyanya

Kama utapenda kufahamu namna nzuri ya kutumia vyakula, matunda na viongo hivyo usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment