Thursday, 12 October 2017

Sababu 5 za kukufanya upunguze matumizi ya sukariMatumizi ya sukari kwa kawaida hutakiwa kuwa na kiwango na endapo yatazidi kiwango huweza kupelekea madhara kadhaa kiafya.

Najua kuna baadhi ya watu ni wapenzi wakubwa wa kutumia sukari kupita kiasi,sasa leo naomba nieleze baadhi ya madhara ambayo huweza kuchangiwa kutokana na matumizi ya sukari kwa wingi.

1. Huchangia mhusika kuwa na uwezekano mkubwa wa kuongezeka uzito

2. Mhusika anayetumia sukari kwa wingi huwa katika hatari kubwa ya kukubwa na ugonjwa wa kisukari.

3. Matumizi ya sukari kwa wingi huweza kusababisha uharibifu wa meno.

4. Uchangia ubora wa kinga za mwili

5. Huweza kuchangia matatizo ya figo

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment