Wednesday, 18 October 2017

Vifahamu vinywaji hivi vya matunda na faida zake kiafya

Orange-Juice-For-Constipation

Vinywaji vitokanavyo na matunda ni miongoni mwa vinywaji muhimu kutokana na kuwa na virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa afya zetu wanadamu.

Moja ya faida ya vinywaji vingi vinavyotokana na matunda ni pamoja na kupunguza madhara ya tatizo la kukosa choo, ambayo huweza kumkuta mtu yoyote katika maisha yake bila kujali umri.

Kukosa choo ni miongoni mwa matatizo ambayo huweza pia kukufanya kukosa raha kwani hata pale unapopata choo huambatana na maumivu makali wakati wa zoezi hilo.

Kuna sababu mbalimbali ambazo huchangia tatizo hili miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kukosa vyakula vyenye nyuzinyuzi za kutosha yaani 'fiber' lakini pia hata kutokunywa maji ya kutosha nayo huchangia tatizo hili.

Kingine ambacho pia huweza kuchangia tatizo hili na watu wengi hawakifahamu ni pamoja na hali ya ujauzito, msongo wa mawazo wakati mwingine hata ugonjwa wa kisukari.


Lakini leo naomba kukueleza hizi aina 4 za vinywaji au juisi ambazo huweza kumsaidia mtu mwenye tatizo la kukosa choo.


1. Juisi ya apple


2. Juisi ya chungwa


3. Juisi ya pears


4. Juisi ya limao

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment