Tuesday, 3 October 2017

Virutubisho vinavyopatikana ndani ya bamia

Bamia ni mboga ambayo inafahamika kwa wengi katika jamii kutokana na ladha yake nzuri inapotumika kama mboga katika baadhi ya milo. Mfano ugali.

Bamia husaidia kulainisha utumbo mkubwa ‘large intestines’ kutokana na kazi yake ya kulainisha choo pia hutumika kwa kusaidia vidonda vya tumbo.

Ndani ya bamia kuna aina mbalimbali za madini pamoja na vitamin ikiwa ni pamoja na vitamin A, B, C na K, mbali na virutubisho hivyo pia ndani ya bamia kuna madini ya 'copper', 'magnesium', 'potassium' na 'manganese '

Mbali na hayo, bamia pia inasaidia kutoa ahueni kwa magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile kaswende na kisonono, huku ikisaidia pia tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na chango kwa wanawake.

Hayo ni machache kuhusu bamia kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment