Friday, 20 October 2017

Vitu 10 vya msingi unavyopaswa kuvifahamu kuhusu nanasi

pineapple is full of Other Plant Compounds
Mungu ametujalia matunda mbalimbali ambayo yanafaida nyingi kiafya, miongoni mwa matunda hayo ni pamoja na nanasi.

Nanasi ni moja ya tunda ambalo linaingia kwenye orodha ya matunda ambayo hulinda miili yetu katika nyanja mbalimbali kutokana na kusheheni virutubisho mbalimbali.

Hapa chini ninayo orodha ya faida za nanasi kiafya:-

1. Huboresha afya ya macho

2. Huimarisha afya ya mifupa mwilini

3. Husaidia kurahisisha uponyaji wa majeraha ya mwili.

4. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani.

5. Huboresha kinga za mwili

6. Hulinda afya ya meno na fizi

7. Huhamasisha utendaji mzuri wa mfumo wa umeng'enyaji wa chakula mwilini

8. Huboresha mzunguko wa damu mwilini

9. Husogeza uzazi karibu

10. Ni tunda nzuri kwa wanaohitaji kupunguza uzito.

Maelezo zaidi au maoni unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkamandaitz@gmai.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment