Wednesday, 11 October 2017

Vitu anavyotakiwa kuvipata mtoto wako kila siku hata kama havipendi


Makuzi ya watoto huwa na changamoto mbalimbali na huhitaji umakini mkubwa kwa wazazi na walezi wa watoto.

Miongoni mwa mambo makubwa ya kuzingatia wakati wa ukuaji wa watoto ni pamoja na mpangilio wa vyakula vya watoto ambavyo vitaweza kuwajenga kiafya.

Leo ninayo orodha ya virutubisho muhimu ambavyo mtoto anatakiwa apate angalau kila siku:-

1. Madini ya Calcium
 Madini haya ni muhimu kwasababu ya afya ya mifupa na meno

2. Protini
Hii nayo ni muhimu kwasababu husaidia kuhamasisha mwili uzalishaji wa cell mbalimbali za mwili

3. Madini ya chuma (Iron)
Madini haya yanaumuhimu nayo kwa afya ya mtoto kutokana na kuwa  na umuhimu wake kuimarisha afya ya akili na misuli pamoja na kusafirisha hewa  ya oxygen kwenye cell za damu.

4. Nyuzinyuzi (fiber)
Nyuzinyuzi hizi ni muhimu sana kutokana na kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa mtoto.

Usisite kuwasiliana nasi kwa ufafanuzi zaidi au tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment