Friday, 13 October 2017

Vyakula 5 ambavyo huweza kuathiri afya ya ngozi yako


Ngozi ni moja ya tabaka la nje la miili yetu ambayo hulinda ogani mbalimbali zinazopatikana ndani ya mwili zisiguswe moja kwa moja.

Kwa kawaida ngozi huhitajika kuwa nzuri muda wote na pale inapoonesha dalili za fulanifulani ambazo si nzuri ni vyema kuzirekebisha.

Yapo magonjwa kadhaa ya ngozi ambayo hupelekea ngozi kuharibika na kuwa na muonekano mbaya.

Leo nianyo orodha ya vyakula na vinywaji ambavyo huweza kuchangia afya ya ngozi kuteteleka au kuharibika:-

1. Matumizi ya vyakula vya viwandani kupita kiasi

2. Matumizi ya vyakula vyenye sukari / chumvi nyingi.

3. Matumizi ya vyakula vinavyoandaliwa kwa kutumia mafuta mengi.

4. Matumizi ya nyama nyekundu ya mara kwa mara

5. Matumizi ya vileo kupita kiasi

Pia matatizo ya ngozi kuna wakati huweza kuchangiwa na matatizo ya mzio (allergy)  fulani fulani ambayo hupelekea mhusika kuharibia kwa ngozi yake.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuongea nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment