Saturday, 7 October 2017

Vyakula vya kuongeza uimara wa mifupa


Uimara wa mifupa ni moja ya mambo muhimu kwa afya zetu wanadamu lakini zaidi huweza kuwa ni muhimu kwa wanamichezo.

Leo napenda kukueleza baadhi ya vyakula muhimu kwa uimara wa afya ya mifupa.

1. Maziwa mtindi
Kinywaji hiki kina vitamin D ndani yake ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa, hii ni kutokana na kikombe kimoja cha maziwa hayo kuwa na kiwango cha asilimia 30 ya madini ya calcium na asilimia 20 ya vitamin D.

2. Spinach
Mboga hii ya majani nayo ni muhimu kwa afya na ubora wa mifupa kutokana na kuwa na madini ya calcium, na vitamin D pia ambazo hufanya kazi ya kuboresha mifupa.

3. Maziwa
Maziwa ni kimiminika ambacho huweza kuimarisha afya ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya calcium ndnai yake pia.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment