Wednesday, 31 January 2018

QUWAT PLUS SULUHISHO LA NGUVU ZA KIUMETATIZO la nguvu za kiume limekuwa likiongezeka katika jamii zetu kila kukicha. Zipo sababu nyingi zinazochangia ongezeko hilo ikiwemo matumizi ya dawa za kemikali bila kuzingatia ushauri wa wataalamu na msongo wa mawazo unaotokana na sababu mbalimbali za kimaisha.

Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mtandao huu utakuwa unafahamu mengi kuhusu tatizo hili kwa kuwa tumekuwa tukilizungumzia mara kwa mara ili jamii iwe na uelewa mpana.

Kabla hatujazungumzia dalili zake na namna ya kukabiliana na tatizo hili, ni vema tukajikumbusha nini maana ya nguvu za kiume.

Nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa kwa ufasaha. Leo ni vema tukaangalia dalili zake na namna ya kukabiliana na tatizo hilo.

Dalili za ukosefu wa nguvu za kiume si rahisi kuonekana iwapo mtu atakuwa hashiriki tendo la ndoa. Hii ni kwa sababu wengi hufanikiwa kushiriki, shida inakuja kwenye kulikamilisha.

Wanaume wengi wamekuwa wakijitathimini ubora wao katika tendo kulingana na saa wanazoweza kufanya tendo hilo, lakini hiyo si njia sahihi ya kipimo cha uwezo wa kushiriki tendo hilo.

Hata hivyo, miongoni mwa dalili za wazi zinazobainisha tatizo hilo kwa mwanaume ni pamoja na kupoteza hisia za kufanya tendo la ndoa na hata anapozipata uwezo wa kushiriki unakuwa ni mdogo.

Ikitokea  ameweza kusimamisha uwezo wa kufanya tendo hilo unaweza kudumu kati ya sekunde tano hadi dakika moja na baada hapo hawezi tena kuendelea.

Licha ya hayo, suala hili pia hutegemea namna mwanaume anavyojiandaa kisaikolojia katika siku ya tendo husika.

Kwa mfano siku akichoka anaweza kukosa hamu hivyo kuchukua muda mrefu zaidi kumaliza, wakati siku ambayo anakuwa amejiandaa kisaikolojia itakuchukua muda mfupi, kwa kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya tendo na fikra za mtu.

Hata hivyo, ni vizuri jamii hususan vijana wakafahamu kuwa tatizo hili linachangiwa na maandalizi hafifu ya tendo hilo, hivyo jambo ni muhimu kuwepo maandalizi ya kutosha.

Pamoja na hayo, imefika wakati sasa wa kujenga tabia ya kupanga ratiba ya kushiriki tendo la ndoa na siyo kukurupuka tu. Pia kuna umuhimu wa kutibu magonjwa mbalimbali yakiwemo ya ngono ili kupunguza tatizo hilo.

Hata hivyo, ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume unaweza kuthibitiwa kwa kutumia kirutubisho kinachojulikana kama Quwat Plus ambacho kimetengenezwa na Mandai Production Company Limited.

Kirutubisho hiki ni mchanganyiko wa vingi vyenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume na husaidia kuondoa chembechembe za sumu mwilini ambazo zinashambulia chembe hai za mwili.

Quwat inaongeza hamu ya tendo la kujamiiana na kunenepesha uume na (manii) hata kwa wale wasiojiweza kabisa. Kirutubisho hiki kinaongeza nguvu katika kifuko kinachozalisha kimiminika kinachosafisha shahawa ya mwanaume  na ina aina sita (6) za vitamin, madini ya lycopene na selenium.

Pia kinasafisha uchafu mwilini kwa kuwa kinapenya ndani ya tishu za mwili na kuziongezea nguvu, kinaondoa maumivu ya tumbo, mgongo, kiuno na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi.

Virutubisho hivi ni vya asili na havichanganywi na kemikali ya aina yoyote, hivyo havina madhara kwa afya ya binadamu.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalamu Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800  au email dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala za Mtaalamu Mandai kupitia Gazeti la TAMBUA linalotoka kila siku ya JUMATATU.

No comments:

Post a Comment