Saturday, 10 February 2018

Fanya haya uondokane na tatizo la kuvurugika hedhi
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza jukumu lao la uzazi.

Tatizo hili linapojitokeza linaleta athari nyingi kwa mwanamke ambapo humfanya ashindwe kupangilia mipango yake.

Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewewi au hajielewi hamna mzunguko wake unavyokwenda.

Kutokana na hali hiyo wanawake wengi hupata hofu hivyo na kuamua kutumia dawa ili kuurudisha mfumo wake.

Madhara yanayoweza kutokea iwapo kukiwa na mvurugiko ni pamoja kushindwa kupata ujauzito, maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.

Kuna sababu zinazochangia hali hiyo ambazo ni msongo wa mawazo uvimbe kwenye kizazi, woga, hofu na kutokwa uchafu ukeni.

Unaweza kurekebisha tatizo hili kwa kula matunda kama papai kwa kuwa lina carotene, chuma, kalsium na vitamin A na C ambavyo husaidia kulainisha na kunywea kirahisi kwa kuta za mji wa uzazi.
Kunywa maji
Magonjwa mengi chanzo chake ni mwili kutokuwa na maji ya kutosha. Maji ni uhai, unachotakiwa ni  kunywa maji mara nyingi zaidi bila kusubiri kiu kwa kuwa yanasaidia kurekebisha hali hiyo.

Tangawizi
Tumia tangawizi kama kiungo cha chai au weka kwenye chakula, kiungo hiki ukikitumia mara kwa mara ni tiba ya maradhi mengi.

Aidha, Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company), imegundua kirutubisho Yoda ambacho kina uwezo wa kurekebisha mzunguko huo na matatizo mengine ya uzazi.

Yoda inasafisha mirija ya uzazi iliyoziba na kusaidia kupevusha mayai ya mama. Matumizi ya kirutubisho hiki husaidia pia kwa wale wenye uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi.

Kwa yeyote anayesumbuliwa na tatizo la kuvurugika hedhi anakaribishwa makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Abdallah Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho hiki.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala zake kupitia Gazeti TAMBUA kila JUMATATU.No comments:

Post a Comment