Saturday, 3 February 2018

Hasat jibu la maradhi ya kiuno kwa kinamama

Hii ndiyo Hasat

TATIZO la maumivu ya kiuno limekuwa likiwasumbua wanawake wengi. Mara nyingi hujitokeza wakati wa hedhi na kisha kufifia baada ya hali hiyo.

Maumivu hayo yanaweza kusababishwa na matatizo kwenye  via vya uzazi, kibofu cha mkojo,  utumbo mkubwa au misuli ya nyonga.

Yanaweza kuendana na mzunguko wa hedhi au la, huwa mara nyingi chini ya kitovu na kiunoni, yanakuwa makali kiasi cha kuathiri shughuli za kawaida za mwanamke.

Nini kinasababisha maumivu ya kiuno kwa kinamama?

Vipo vyanzo vingi vinavyosababisha maumivu hayo kwa mwanamke ambavyo ni pamoja na maambukizi ya ndani ya kiuno ya muda mrefu.

Hii ni hali ambayo seli za ukuta wa uzazi huota sehemu nyingine za uzazi. Huleta maumivu wakati wa hedhi au wa tendo la ndoa.

Maambukizi ya muda mrefu ya shingo ya uzazi au mji wa uzazi husababisha pia tatizo hilo wakati wa kujamiiana.

Namna ya kutatua tatizo hilo

Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company) imegundua kimiminika Hasat kinachotengenezwa kwa mchanganyiko wa matunda na viungo mbalimbali ambacho kina uwezo wa kupenya ndani ya tishu za mwili na kujenga nguvu.

Hasat pia inaondoa sumu mwilini, maumivu ya tumbo pamoja na kuondoa hali ya uchovu.

Si hivyo tu kimiminika hiki kinasaidia pia kuboresha afya ya ngozi kwani kinaondoa upele na majipu.

Hasat ikitumiwa ipasavyo inaweza kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake pamoja na kuimarisha kinga za mwili.

Kwa mwenye tatizo hilo anaweza kuja makao makuu yetu Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Abdallah Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho hiki.

Pia unaweza kuwasiliana na Mtaalamu Mandai kwa simu +255716 300 200, +255784 300 300, +255769 400 800 au dkmandaitz@gmail.com.


No comments:

Post a Comment