Saturday, 24 February 2018

JPM awasili kutoka Uganda

RAIS Dk. John Magufuli amerejea nchini leo akitokea Uganda ambako amehudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliomalizika nchini humo mapema jana.

No comments:

Post a Comment