Friday, 9 February 2018

Kimondo suluhisho tatizo la UTIKimondo

UTI  (Urinary Tract Infection) ni maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo ambayo hutokea katika sehemu yoyote ya mfumo huo kama figo, kibofu au mrija wa mkojo.

Kimsingi ugonjwa huu licha ya kuwapata watu wa makundi yote, lakini wanawake wapo hatarini zaidi.

Chanzo cha UTI ni vimelea kuvamia njia ya mkojo kuanzia kwenye mrija ambako mkojo hupitia kutoka nje.

Baada ya uvamizi, vimelea hao huanza kuzaliana kwenye kibofu cha mkojo na imethibitishwa kuwa chanzo kikubwa cha UTI ni vimelea vya Escherichia Coli au E. coli. Vimeleea hawa kwa kawaida wanaishi mwilini kwenye utumbo wa binadamu.

Ifahamike kuwa mkojo unapotoka mwilini unasaidia kupunguza idadi ya vimelea vilivyovamia njia hiyo kwa kutoka nao, lakini hauwezi kusafisha wadudu wote kwa njia hiyo.

Ni vema jamii ijengee tabia ya kunywa maji mengi ambayo yatasaidia mtu kukojoa mara nyingi zaidi na hivyo kupunguza wadudu hao.

Hata hivyo, wanawake wanaofanya mapenzi na wenza wengi wapo katika hatari ya kuambukizwa UTI zaidi kuliko wale wasiofanya ngono.

Aidha, kwenda haja ndogo kila baada ya tendo la kujamiiana kunapunguza uwezekano wa kupata maambuki.

Hata hivyo, Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company), imegundua kirutubisho Kimondo kitokanacho na mimea tiba iliyochanganywa kitaalamu ambacho kina uwezo mkubwa wa kuulinda mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo UTI.

Matumizi ya kirutubisho hiki husaidia pia kwa wale wenye uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi, pia kinasaidia kuongeza kinga mwili (CD4) na kusafisha tumbo na minyoo.

Bidhaa hii ni nzuri kwa kukabiliana na matatizo ya UTI, hivyo ni vema ukaitumia huenda ndiyo itakayomaliza tatizo lako.

Kwa yeyote anayesumbuliwa na tatizo la UTI anaweza kuja makao makuu yetu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Abdallah Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho hiki.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala zake kupitia Gazeti TAMBUA kila JUMATATU.No comments:

Post a Comment