Thursday, 1 February 2018

Likolo na maajabu ya tiba ya vidonda vya tumbo

Kirutubisho Likolo Plus kilichoandaliwa kwa mmea asili kina uwezo mkubwa wa kupamba na maradhi ya vidonda vya tumbo.VIDONDA vya tumbo ni matokeo ya uzalishaji kupita kiasi wa tindikali aina ya haidrokroliki asidi ndani ya tumbo ambayo ina haribu utando wa ngozi nyembamba ndani ya utumbo mkubwa au mdogo.
Tafiti zimeonesha kuwa kati ya asilimia 70 hadi 90 ya vidonda vya tumbo inasababishwa na vimelea wa bakteria wajulikanao kama Helicobacter pylori.
Kwa kawaida tatizo hilo linaleta maumivu makali ya tumbo licha ya kuwa si kila maumivu ya tumbo ayapatayo mtu yanasababishwa na vidonda vya tumbo.
Pamoja na sababu nyingine zinazosababisha ongezeko la ugonjwa huo, imebainika kuwa matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu kama aspirin au diclofenac ni miongoni mwa vichocheo vya ugonjwa huo.
Baadhi ya vitu vinavyosababisha vidonda vya tumbo
Tabia ya mtu kufanya kazi kwa muda mrefu bila kula, kupenda kuvuta sigara, kula vyakula vilivyokolezwa viungo, kula chakula kingi kuliko kawaida na kutokuwa na muda maalum wa kula chakula.
Miongoni mwa dalili za vidonda vya tumbo
Mtu anaweza kubaini iwapo ana vidonda vya tumbo kama atajisikia maumivu makali sehemu ya juu ya kitovu ambayo yanaweza kutokea saa chache kabla au baada ya kula na kukosa  usingizi.
Hata hivyo, licha ya hizo kuwa ni miongoni mwa dalili nyingi za vidonda vya tumbo ni vema mgonjwa aende kwa wataalam wa tiba kupima na kupata ushauri.
Tabia za mgonjwa mwenye vidonda tumbo
Anashindwa kudhibiti hisia kama hasira, huzuni, wasiwasi na woga, hupenda kutumia vinywaji vya kusisimua mwili kama kahawa, pombe na dawa za kulevya.
Tiba ya vidonda vya tumbo
Hata hivyo, Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company) imegundua kirutubisholo kinachojulikana kama Likolo ambacho kina uwezo mkubwa wa kupambana na matatizo ya vidonda vya tumbo.
Kirutubisho hiki asili, kina uwezo mkubwa wa kupambana na tatizo la vidonda vya tumbo na uvimbe tumboni.
Likolo pia lina uwezo mkubwa wa kusafisha kibofu cha mkojo, kutoa gesi tumboni na kuzuia tumbo kuunguruma au maumivu yanayoashiria kuwaka moto tumbo.
Aidha, likolo pia inaondoa kiungulia na kupunguza lehemu (cholesterol) mwilini ukubwa wa tumbo kwa wenye matumbo makubwa.
Kwa anayesumbuliwa na matatizo ya tumbo anaweza kuja makao makuu yetu Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa anwani ya hapa chini ambapo atajipatia dawa hii na ushauri wa namna ya kuepuka magonjwa yanayopatikana kutokana na utindo wa maisha.
Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255716 300 200, +255784 300 300, +255769 400 800  au email dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala zake kupitia Gazeti TAMBUA kila JUMATATU.No comments:

Post a Comment