Saturday, 10 February 2018

MHC kiboko tatizo la manii

TATIZO la uzalishaji mbegu za kiume linahusiana na kutokuwepo au kuwepo kidogo sana kwa mbegu za kiume kwenye manii.

Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini kwenye maabara.

Kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe mbegu kati ya milioni ishirini hadi milioni mia tatu hamsini kwa tendo moja, chini ya kiwango hicho hawezi kumpa mimba mwanamke.

Hakuna dalili za moja kwa moja ambazo zitabainisha kuwa mwanaume husika analo tatizo hilo hisia zitaanza baada kukaa katika mahusiano kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja huku mwenzi wake akishindwa kupata mimba.

Pia  kushindwa kufanya tendo la ndoa baada ya uume kukosa nguvu ya kusimama.

Endapo kiwango cha mbegu kitakuwa kidogo kitaalam hali hiyo huitwa ‘Oligospermia’ na kama huna kabisa mbegu hali hiyo huitwa ‘Azoospermia.

Sababu zinazochangia mwanaume kuwa na upungufu wa mbegu za kiume (manii).

Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume, kwa bahati nzuri vingi ya vitu hivyo tunao uwezo wa kuvidhibiti kwa kupunguza matumizi yake.

Vifaa vya kieletroniki
Tafiti zimeonesha kuwa vifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivyo ni pamoja na simu na kompyuta.

Inashauriwa kutokuweka simu ndani ya mfuko wako wa suruali kwa kipindi kirefu na kutokuweka kompyuta mpakato (laptop) kwenye mapaja yako wakati wote ukiitumia. Ni muhimu pia kutokutumia saa nyingi ukiwa kwenye kompyuta ili kuepukana na tatizo hilo.

Vifaa vya Intaneti visivyotumia waya siku hizi tofauti na zamani, kuna teknolojia mpya imeingia ya kuunganisha intaneti kwa kutumia vifaa visivyotumia waya (wireless internet) au kwa lugha nyepesi hujulikana kama Wi-Fi.

Vifaa hivi vinapunguza wingi wa mbegu, uwezo wa mbegu kukimbia na kuharibu muundo asili wa mbegu kwa ujumla.

Wanaume wenye tatizo la uzazi wanashauriwa kutotumia aina hii ya vifaa vya kuunganishia intaneti kwenye kompyuta zao na vile vile kutokuweka simu kwenye mifuko yao ya mbele ya suruali.

Uvutaji sigara, bangi na bidhaa nyingine za tumbaku nao unachangia kuharibu ubora wa mbegu za kiume.

Habari njema ni kwamba, Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company), imegundua kirutubisho MHC kilichoandaliwa kwa kutumia mimea tiba na kuwa na uwezo wa kuboresha afya ya uzazi kwa kinamama na kinababa.

Kirutubisho hiki pia kinasaidia kupevusha mayai kwa kinamama na kuongeza kiwango cha manii kwa kinababa. Tumia kirutubisho hiki kuboresha afya yako.

Bidhaa hii ni nzuri kwa kukabiliana na matatizo ya uzazi, hivyo ni vema ukajaribu huenda ndiyo itakamaliza tatizo lako.

Kwa yeyote anayesumbuliwa na tatizo la upungufu wa manii anaweza kuja makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Abdallah Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho hiki.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala zake kupitia Gazeti TAMBUA kila JUMATATU.


No comments:

Post a Comment