Thursday, 1 February 2018

Nguvu za kike tatizo lisilojulikana na jamii

Kirutubisho Mama Asili kiboko ya tatizo la ukosefu wa hisia za mapenzi kwa wanawake

TATIZO la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume si jambo geni masikioni mwa wengi. Tatizo hilo linajulikana mno kwa sababu ya matangazo mengi ya matabibu wanaoelezea uwezo wao wa kulitibu.

Hatua hiyo imejenga uelewa mkubwa kwa watu kuwa wanaume wengi wanakabiliwa na tatizo hilo huku upande wa pili kwa maana ya wanawake hali ikionesha kuwa shwari kabisa.

Kulingana na uzoefu wa kazi yangu ya utabibu suala la ukosefu wa hisia za kufanya mapenzi (ukosefu wa nguvu za kike), kwa wanawake ni kubwa lakini halijulikani.

Wanawake wengi wakiwemo walioolewa hawana hisia kabisa ya kufanya mapenzi lakini kutokana na maumbile yao ni vigumu kwao kubainika tatizo hilo kwa urahisi.

Sababu za wanawake kukosa hisia

Zipo sababu nyingi zinazochangia ukubwa wa tatizo hilo miongoni mwazo ni ukatili wanaofanyiwa na wanaume kwa mara ya kwanza wanapoanza tendo la kujamiiana
.
Kubakwa kumewafanya wanawake wengi kuogopa au kukosa kabisa hisia za kufanya tendo la ndoa katika maisha yao.

Lakini pia kazi nyingi wanazokabiliana nazo wanawake kutokana na jukumu kubwa kulea familia na msongo wa mawazo unaosababishwa na ugumu wa maisha unachangia wengi wao kupungukiwa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Ushauri

Nawashauri kinamama ambao ndiyo wenye jukumu la kuandaa chakula katika familia nyingi waandae vyakula vya asili na matunda kwa kuwa vina uwezo mkubwa wa kukabiliana na tatizo hilo.

Nimesema hivyo kwa sababu yapo matunda ambayo yana uwezo mkubwa wa kuchochea homoni zinazoamsha hisia za kutaka kufanya mapenzi.

Mwanamke akila kokwa la embe, kungu manga na kweme ni miongoni mwa matunda yanayochochea hisia za mapenzi kwake.

Pia Kampuni yetu ya virutubisho tiba (Mandai Products Company) imegundua kirutubisho Mama Asili ambacho kina uwezo wa kuamsha hisia za kufanya mapenzi kwa wanawake.

Kirutubisho hiki kimeandaliwa kwa mimea tiba ni suluhisho la matatizo mbalimbali ya kinamama pamoja na chango la aina yoyote na pia kinaondoa sumu mwilini.

Kwa mwanamke anayesumbuliwa na tatizo la  ukosefu wa hisia za kushiriki tendo la kujamiiana au mume anayetaka kumsaidia mkewe mwenye tatizo hilo anaweza kuja makao makuu yetu yaliyopo Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Mandai kwa ushauri au kujipatia dawa hii.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255716 300 200, +255784 300 300, +255769 400 800  au email dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufuatilia makala zake kupitia Gazeti TAMBUA kila JUMATATU.


No comments:

Post a Comment