Wednesday, 28 February 2018

Tumia nanasi, papai na mpamba kukabili uchungu wa kabla ya wakati
TATIZO la kuharakisha kupata uchungu wa uzazi limekuwa likiwakumba wanawake wengi hapa nchini na kwingineko duniani.

Kama yalivyo matatizo mengine, tatizo hili linatibika kwa kutumia mimea yetu na matunda kama papai, nanasi na mti wa pamba.

Papai

Chukua papai bichi ondoa maganda kisha kata vipande vidogo vidogo chemsha ndani ya maji kwa dakika 20, kula tunda na kunywa maji uliyochemshia, asubuhi na jioni hadi wakati wa kujifungua.

Nanasi

Majani ya mnanasi nusu kilo, yaponde na tengeneza juisi lita moja na nusu, kunywa glasi moja mara mbili kwa siku hadi wakati wa kuzaa.

Mti wa pamba

Pondaponda robo kilo ya magome ya mti wa pamba, chemsha kwa dakika 15 katika lita moja na nusu ya maji, baada ya kupoa kunywa glasi moja mara mbili kwa siku, hadi siku utakapo jifungua.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo la kiafya ikiwemo ushauri, karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasilianm na Mtaalam Mandai kwa ushauri na kujipatia virutubisho mbalimbali vinavyoukinga mwili dhidi ya magonjwa.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment