Tuesday, 13 March 2018

Hii ndiyo mbegu ya embe kiboko ya viungo vya uzazi vilivyolegeaMbegu ya embe

WAKATI mwingine viungo vya uzazi wa mwanamke vinaweza kulegea kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa mara nyingi au kuzaa watoto wakubwa.

Mwanamke mwenye tatizo hilo anaweza kumfanya mumewe au mpenzi  wake asifurahie tendo la ndoa. Ili kuzuia hali hiyo unaweza kutumia mbegu za embe na malimau.

Mbegu za embe

Ponda mbegu ya embe hadi iwe kama uji, chukua kijiko kimoja cha chai cha uji huo, weka sehemu ya uzazi (vagina), kwa muda wa nusu saa kabla ya tendo la ndoa. Osha kabla ya tendo la ndoa. Sehemu ya uzazi inarudi kama binti bikra.

Malimau

Osha sehemu za uzazi kwa maji ya malimau nusu saa kabla ya tendo la ndoa. Matokeo yake ni kama katika kipengele cha kwanza.
Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment