Wednesday, 21 March 2018

Kabili uvimbe wa kizazi kwa kirutubisho mama asili

Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai, akiwa ameshika kirutubisho Mama asili kinachozalishwa na Mandai Products (T) LTD ambacho kinasaidia katika tatizo la uvimbe katika kizazi.


UVIMBE ndani ya kizazi ni tatizo ambalo huwapata baadhi ya kinamama. Mara nyingi hawawezi kuona dalili za haraka za tatizo hilo. Baadaye huanza kwa kutoka hedhi nzito iliyovurugika.

Huu ni uvimbe ndani ya kizazi au hata nje ya kizazi unaweza kuota pia. Huu ni kati ya uvimbe unaokua na kulifanya tumbo la mama kuonekana kama ana ujauzito na kumvurugia mzunguko wake wa hedhi hata ikakosa mpangilio na kusababisha ugumba au utasa.

Pia anaweza kuishiwa damu, uchovu na kuvuja damu kabla ya hedhi. Fibroid yaweza kuleta maumivu ya mgongo, miguu na chini ya kitovu.

Vitu vinavyosababisha uvimbe huu

Uvimbe huu ni ule usio wa saratani, unaoota katika misuri ya kizazi. Zipo sababu nyingi lakini kuchelewa kupata mtoto pia kunachangia kuota uvimbe huu.

Wanaotumia dawa za kisasa za uzazi wa mpango hushambuliwa kwa kiwango kikubwa na uvimbe huu maana mwili huzaa virutubisho ama zile estrijeni za uzazi hukomaa mapema na kuanza kutengeneza uvimbe.

Unaweza kutumia tiba ya mimea kama mama asili, kokwa la embe, ndimu pori na mzizi wa mtopetope.

Mama asili

Hiki ni kirutubisho kinachozalishwa na Mandai Products. Kina uwezo mkubwa wa kumwezesha mama mwenye tatizo hilo kuondokana nalo.

Kokwa la embe

Chukua kokwa la embe lisage na kupata unga wake ambao unaweza kuutumia kwenye maji moto au uji mwepesi. Tumia tiba hii kutwa mara mbili.

Mtopetope

Mizizi ya mtopetope ichemshe na kuitwa glasi moja asubuhi na jioni. Tumia tiba hii katika ya mwezi mmoja hadi mitatu.

Mndimu pori

Pia mizizi ya mti huu ichemshe na kunywa glasi moja ya maji hayo asubuhi na jioni, kama ilivyo kwa mizizi ya mtopetope. Hata hivyo ni vema kwa mtu mwenye tatizo hili aje ofsini kwetu kupata maelezo ya kina na namna bora ya matumizi yake

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Mandai kwa simu+255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri au virutubisho vyetu.

No comments:

Post a Comment