Friday, 16 March 2018


Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua mradi wa ujenzi unaoendelea Makao Makuu ya Jeshi hilo mkoani Dodoma. Alifanya ukaguzi huo jana katika mradi huo unaotarajiwa kukamilika hivi karibuni. No comments:

Post a Comment