Sunday, 25 March 2018

Rais Dk. John Magufuli akiwa katika Ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay, Dar es Salaam

Rais Dk. John Magufuli, mkewe Mama Janeth na mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam leo (Machi 25, 2018)

Rais Dk. John Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam leo (Machi 25, 2018).

Rais Dk. John Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakipeana mkono wa amani na Masista wa Kanisa Katoliki walipojumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay,  Dar es Salaam leo (Machi 25, 2018).

Rais Dk. John Magufuli akipokea chakula cha Bwana (Ekaristi Takatifu) nyuma mkewe Mama Janeth wakati wa Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay, Dar es Salaam leo (Machi 25, 2018).

No comments:

Post a Comment