Thursday, 8 March 2018

Tumia unga wa haradali mtoto anaposhikwa degedegeUnga wa haradali

UGONJWA wa degedege unawapata zaidi watoto hasa wanapokuwa na homa kali.

Mtoto anapokuwa na homa kali hushikwa na aina fulani ya kifafa ambapo hufurukuta mikono na miguu, hujipindapinda, hujinyonganyonga au wakati mwingine kutupa macho juu kama mtu aliyekufa.

Ili kutibu tatizo hilo, chukua kijiko kimoja cha unga wa haradali changanya katika lita tano za maji ya moto. Baada ya maji kupoa mwogeshe mtoto aliye na tatizo la degedege.

Fanya hivyo mara tatu kwa siku, endelea na tiba hiyo kwa muda wa siku tano.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment