Thursday, 22 March 2018

Vijue vyakula vinavyochochea hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke
MWILI wa mwanamke unakuwa katika hali ya kubadilika mara kwa mara kutokana na mzunguko wa siku zake za hedhi. Mzunguko huo unamfanya wakati mwingine anakuwa katika hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

Mwanamke anaweza kuzuia au kurekebisha hali hiyo kwa kutumia vyakula maalum vinachochea hamu ya kufanya tendo hilo muhimu kwa binadamu.

Miongoni mwa vyakula hivyo ni maharage ya soya, ngano isiyokobolewa, mchele uliokobolewa baada ya kupitishwa kwenye mvuke, shayiri, ubuyu, ukwaju, kiazi kikuu na tangawizi.

Hata hivyo, kama unasumbuliwa na tatizo hilo ni vema ukaja makao yetu makuu kupata maelezo ya kina ya namna ya kuondokana nalo kwa kuwa mapenzi ni kila kitu muhimu hususan kwa wanandoa.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri au virutubisho vyetu.

No comments:

Post a Comment