Friday, 23 March 2018

Watoto wa wafugaji wanavyonufaika na soko la mifugo la kimkakati Longido


Maziwa ya mbuzi ni kinywaji kinachohitaji katika mwili wa binadamu ili kumkinga na maradhi mbalimbali. Mtoto akikamua maziwa hayo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwenye kijiji cha Eworendeke, wilayani Longido kwa mbuzi wanaofikishwa katika soko la kimkakati la mifugo Longido ambalo limejengwa na Programu ya Miundombinu ya masoko, uongezaji wa thamani na huduma za kifedha vijijini (Mivarf)Mmoja wa watoto wa wafugaji kwenye kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, wilayani Longido akimkamua mbuzi maziwa kwa ajili ya matumizi ya familia yake. Watoto hao hukamua maziwa hayo bila kutozwa chochote kwa mbuzi waliofikishwa kuuzwa kwenye soko la kimkakati la mifugo Longido lililojengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF).


Mmoja wa watoto wa wafugaji katika kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, wilayani Longido akikamua maziwa ya mbuzi kwa ajili ya matumizi yake. Mbuzi hao wamefikishwa muda wa jioni katika soko la kimkakati la mifugo Longido ambalo limejengwa na Program ya miundombinu ya masoko, uongezaji wa thamani na huduma za kifedha vijijini (Mivarf)

No comments:

Post a Comment