Thursday, 29 March 2018

Waziri Mkuu awasili Dodoma kutoka Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kasulu Mjini , Daniel Nsanzugwako  kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea akitoka Dar es Salaam jana (Machi 28, 2018).  Wapili kulia ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na watatu kushoto ni  Mbunge wa Nzega  Mjini, Hussein Bashe.

No comments:

Post a Comment