Wednesday, 21 March 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo DK. Harrison Mwakyembe amesema si busara kwa Diamond kushindana na serikali endapo ana ushauri ni vema akauwasilisha kwa njia sahihi na si kumshambulia Naibu Waziri kwa dharua na kejeli. 

No comments:

Post a Comment