Thursday, 5 April 2018

Chadema yatoa majina 25 ya wanaodaiwa kushikiliwa polisi kinyume cha sheriaChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa majina ya watu wanaoshikiliwa na jeshi la polisi kinyume na sheria wakiwemo viongozi, wanachama na wafuasi wa chama hicho. 


No comments:

Post a Comment