Wednesday, 4 April 2018

Majaliwa akutana na Rais wa kampuni za Star Times bungeni mjini Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa kampuni  Za Star Times Group, Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa kampuni za Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma jana. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa kampuni za Star Times Group, Zhang Ye  na kushoto ni meneja uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited, Juma Suluhu Sharobaro. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment